Genesis 31:18

18naye akawaswaga wanyama wote mbele yake pamoja na vitu vyote alivyokuwa amechuma huko Padan-Aramu kwenda kwa baba yake Isaka katika nchi ya Kanaani.

Copyright information for SwhKC